Chorus
Mimi nimewachagua ninyi duniani miminnimewachagua duniani x2 ili mpatenkwenda kuzaa matunda na matunda yenunyadumu, yadumu siku zote x2
Verse 2
Si ninyi mlionichagua mimi,
Bali ni mimi nimewachagua ninyi
Verse 3
Nami nimewachagua kwenda kuzaanmatunda, na matunda yenu yadumu ilinkwamba, lolote mumwombalo Baba kwanjina langu awape
Verse 4
Iwapo ulimwengu ukiwachukia, mjuenkwamba, umenichukia mimi kabla yankuwachukia ninyi.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.