SectionsEucharistMisa Centinary (Mtakatifu)

Misa Centinary (Mtakatifu)

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Mtakatifu, mtakatifu,

Mtakatifu, Bwana Mungu.

Verse 2

Mtakatifu, mtakatifu,

Mtakatifu Bwana Mungu, wa majeshi, x2

Verse 3

Mbingu na dunia zimejaa utukufu

Mbingu na dunia, mbingu na dunia,

Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako,

Zimejaa utukufu wako.

Verse 4

Hosana juu, hosanna juu,

Hosana juu, hosanna juu mbinguni x2

Verse 5

Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina

Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye,

Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana,

Ajaye kwa jina la Bwana.

Hosanna…

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.