Verse 1
Mtakatufu, mtakatifu Bwana, mtakatifu
Mungu wa majeshi.
Mbingu na dunia zimejaa,
Zimejaa utukufu wako n
Chorus
Hosana, hosanna, hosanna, hosanna,
Hosana, hosanna juu mbinguni x2
Verse 3
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake Bwana
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.