Verse 1
Masiya amezaliwa wapi - hao ni mamajuzi
Kwani sisi tumetoka mbali - nyota tumeiona
Chorus
{Ni wewe mji wa Daudi ambao u mdogo sana
Masiya amezaliwa kwako }* 2
Verse 3
Mama juzi walikwenda huko - huku wakifurahi
Kurudi nyuma kwao ni mwiko - wamwone Masiya
Verse 4
Ewe Yusufu na Mariamu - kimbieni Misri
Mfalme ataka mwaga damu - hiyo iwe ni siri
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.