Chorus
{ Mkizipenda sheria zangu
Nitawaombea kwa Baba yangun(na yeye) atamtuma Roho wa kwelin(ndiye) atakaye wafariji mioyo } *2
Verse 2
Nyumbani mwa Baba kuna mengi,
Kwa kweli atawapa makao *2
Verse 3
Sitawaacha kama yatima,
Nitamtuma Roho wa kweli *2
Verse 4
Kwa kweli mkinipenda mimi, na
Baba yangu atawapenda *2
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.