SectionsExitMtakatifu

Mtakatifu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Verse 1

Mtakatifu Bwana

Mtakatifu Bwana, Mtakatifu Bwana

(Bwana) Mungu wa majeshi x2

Mbinguni na dunia zimejaa utukufu wakonhosanna juu mbinguni,

hosanna (hosanna) juu mbinguni.

Verse 2

Mbarikiwa ajaye kwa jina lake Bwana

Hosanna juu mbinguni,

hosanna (hosanna) hosanna juu mbinguni x2

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.