Verse 1
Mungu Baba twakuomba katika shida zetu
Uje Baba mwenyezi katika shida zetu
Verse 2
Mungu Mwana twakuomba katika shida zetu
Uje Kristu u mwokozi katika shida zetun
Uje Baba twakuomba, njoo utuhurumie *2
Verse 3
Mungu roho twakuomba katika shida zetu
Uje Roho u mfariji katika shida zetu
Verse 4
Njoo utatu Mtakatifu katika shida zetu
Uje kwetu twakuomba katika shida zetu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.