Mungu Muumba
Ordinary TimePresentation of Gifts
Verse 1
Mungu Muumba twakutolea sadakansaf ee Baba pokea x2
Chorus
(Sadaka) ee Baba pokea x2
Tunakutolea sadaka saf x2
Verse 3
• Mkate huu uwe mfano wa mwili wako,
ee Baba pokea x2n• Divai hii iwe ishara ya damu yako,
ee Baba pokea x2n• Mazao yetu ya mashambani twakutolea,
ee Baba pokea x2n• Maisha yetu kwa roho saf twakutolea,
ee Baba pokea x2n• Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako,
ee Baba pokea x2n• Furaha yetu uchungu wetu twakutolea,
ee Baba pokea x2
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.