Chorus
Mwimbieni Bwana, mataifa ya dunia
Mwimbieni Bwana litukuzeni jina lake
Verse 2
Tangazeni wokovu wake siku kwa siku
Yaelezeni mataifa utukufu wake
Verse 3
Utukufu na uzuri unamtangulia, Enzi nanwangavu zimo katika kikao chake kitakatifu
Verse 4
Mpeni Bwana enyi jamii za mataifa
Mpeni Bwana sifa na enzi
Verse 5
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake
Toeni sadaka ingieni katika sebule zaken
Verse 6
Semeni kati ya mataifa, Bwana ni mfalme
Verse 7
Atatawala ulimwengu kwa haki
Na mataifa kwa uaminifu waken
Verse 8
Atukuzwe Baba na mwana, na Roho Mtakatifunkama mwanzo na sasa, na siku zote milele.
Amina.n
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.