SectionsPresentation of GiftsNakuja Mbele Zako Bwana

Nakuja Mbele Zako Bwana

,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Nakuja mbele zako Bwana,

ninakuja na zawadi yangu,

ingawa ni kidogo (sana)

Bwana uipokee x2

Verse 2

Nimekaa mimi nimejiuliza moyoni,

nitaenda je mbele za Bwana.

Kwani Bwana amenilinda mimi salamanamezibariki kazi zangu.

Mungu Baba, pokea nilichonacho

Ninatoa kwa moyo mkunjufu pokea,

hiki kidogo nilichonacho.

Haya yote ni kwa ajili yako pokea,

uzidi kunijalia mema.

Ninaleta, mbele ya altare yako

Mkate na Divai twaleta pokea,

vigeuze mwili pia damu.

Hata fedha zetu za mifukoni twakupa,

zote ni mali yako e Bwana.

Tubariki, tupokee mbele zako.

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.