Verse 1
Nalikuwa nimelala moyo wangu umacho
Sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu
Siku zote nakungoja we mwanangu ujenkwangu, usiogope kunijia nitakupokea tu
Nimemwaga damu yangu roho yako kuokoa,
damu hiyo ipotee we mwanangu rudi tu
Ni mapendo yangu kwako kuokoa roho yakonwe mwanangu usiogope njoo utubu dhambi
Ni tayari kukupokea mpenzi wangu rudinkwangu furahi pamoja nami milele na milele
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.