Nasadiki
Nasadiki kwa Mungu mmoja.
Nasadiki kwa Mungu mmoja
Muumba mbingu na dunia na kwa Yesu Kristunmwanaye wa pekee Bwana wetu,
Nasadiki ninasadiki (mimi) kweli ninasadiki,
nasadiki kwa Mungu mmoja.
Alipata mwili kwa tendo lake Roho
Mtakatifu, kazaliwa naye Bikira,
akateswa kwa ponsio pilato.
Akasulibiwa akafa, akazikwa kaburini,
na kuzimu akashukia,
kafufuka siku ya tatu.
Akapaa juu mbinguni, ameketi kuumenkwa Baba, Mungu Baba yetu mwenyezi
Muumba mbingu na dunia.
Ndipo atakapotokea kuhukumu wazimanna wafu, na ufalme wake milele utakuwanbila mwisho.
Nasadiki kanisa ni moja, ni kanisa takatifu,
ni kanisa la katoliki ni kanisa la mitume.
Ushirika wa watakatifu, ondoleo landhambi zetu, nasadiki ufufuko wa miili,
na uzima wa milele.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.