Nasikia kelele na vigelegele naulizankwani kuna nini (leo). Nawaona walionna mavazi mazuri wanavyotembea kwanmariongo tele (leo).
Ni harusi pigeni kelele. Ni harusi pigeninmakofi. Ni harusi tuimbe kwa shangwe,nna vigelegele tupige x2.
Tazameni bwana anavyopendeza,nanavyokanyanga polepole (sana).
Naye bibi harusi anametameta,nanapambwa mavazi mazuri (sana).n
Nyanyueni bendera mikononi mwenunmuzipeperushe kwa pamoja (wote).
Simameni tucheze kwa furaha,nwanapoingia, tuimbe kwa shangwe (wote).n
Tuwafurahieni ndugu zetu hawanwalioamua kufunga (ndoa).
Ndoa ni maagizo yake Mungu Babankwa upendo wasivunje hiyo (ndoa).n
Ewe bwana harusi umpende mke wakonsiku zote umlinde (vyema).
Naye bibi harusi mheshimu mume wakonsiku zote umtunze (vyema).
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.