Chorus
Nawapa amri, amri pendaneni (Asema
Bwana), kama vile mimi nilivyowapendannyinyi, (Nanyi), nanyi, pia pendaneni.
Verse 2
Wapenzi na tupendane;npendo latoka kwa Mungu.
Na pia apendayenamezaliwa na Mungu (Mungu),
naye anamjua Mungu, mpendane
Yule asiye na pendonhakumjua Mungu wetu,
kwa maana Mungu ninmwenye upendo kamili (naye),
naye ametuamuru; tupendane
Mungu apenda duniankwa mapendo yake kwetu,
akamtuma mwana wake pekee (pekee),
hapa kwetu duniani tupendane
Kila amukirie Yesunkuwa ni mwana wa Mungu,
ndipo Mungu anakaanndani yake mtu Yule (naye),
naye ndani yake Mungu tupendane
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.