SectionsEntranceNchi Inazizima

Nchi Inazizima

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,LentEntrance
Chorus

Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema,

Pilato akakiri hana kosa lakini kamuueni,

Kainuliwa mtupu na kajeruhiwa sana,

Amekata roho, nchi inazizima kwa huzuni kuu.

Verse 2

Ona damu, mwili umelowana

Ona nyama, madonda mwili mzima

Moyo wake, nao umetoboka.

Mate yao, yamemfunika uso.

Verse 3

Meno yake, kang'ata kwa uchungu.

Nafsi yangu, imemjeruhi Yesu

Dhambi zangu, zikamchomoa roho

Mungu wangu, nionjeshe uchungu

Verse 4

Ili nife, pamoja naye Kristu

Mwisho nije, nikafufuke naye

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.