Chorus
Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako
Bwana (mimi)
Ndimi mtumishi wako, nitafuraha kwako
Bwana (ndimi)
Verse 2
Nitajonjegea altare ya Mungu.
Mungu wa raha ya roho yangu
Machoni pangu meza imepambwa,
Bwana tazama adui zangu
Malishoni mwa majani mabichi,
Ananitunza nikiwa naye
Sifa ziende kwa Baba na Mwana,
na kwake Roho milele yote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.