Chorus
Neema mliyoipata muitunze, neema hiyo ya karamu yake Bwana
Neema ya upendo neema ya amani,
neema ya furaha neema ya faraja, Neema muitunze,
neema na baraka zake Bwana Yesu Kristu
Verse 2
Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewalisha chakula kutoka Mbinguni
Verse 3
Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewanyesha kinywaji kutoka Mbinguni
Verse 4
Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewashibisha kwa mwili na damu yake
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.