Chorus
Nenda katoe wenkatoe shukrani (wewe) kwa mema yote, alokujalia Bwana mungu wako)*2
Verse 2
Amekujalia (wewe) wiki nzima, kwanini na wewe usimshukuru,
Amekuepusha (wewe) hatari na kifo,
kwani ni na wewe usimshukuru
Amekujalia (wewe) wazazi wema,
kwanini wewe usimshukuru
Amekujalia (wewe) uzima mali,
kwanini wewe usimshukuru
Hebu fikiria (wewe) umpe nini, muumba wako kwa mema yote
Hata ni kidogo (wewe) nenda katoe,
kama shukrani ubarikiwan
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.