Chorus
[b] Nijaposema tena kwa lughanza wanadamu na za malaika, mimin/s/ Kama sina upendo, kama sina upendo,
kama sina upendo mimi sifai kitun/a/ Kama sina upendo kama, mimi sina upendonkama sina upendo mimi sifai kitun/t/ Kama sina upendo u-upendo,
sina upendo, sina upendo -fai kitun/b/ kama sina upendo u-upendo sina,
upendo sifai kitu
Verse 2
[s] Nikiutoa mwili wangu niungue moto,
kama sina upendo mimi sifai kitu
Verse 3
[t] Hata nikiimba pia nirukeruke,
kama sina upendo sifai kitu
Verse 4
[a] Hata na mimi nikitoa mali yangu yote,
kama sina upendo mimi sifai kitu
Verse 5
[b] Nikitoa mali yangu kwa maskini,
kama mimi sina upendo sifai kitu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.