Verse 1
Ee Bwana mchungaji wangu,
npopote wanifahamu
Hakuna chochote kwangu,
usikifahamu, Bwana
Hata nikiomo mbingu,
pia niende kuzimu
Mtukufu Baba,
mwana na roho mtakatifu.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.