SectionsEntranceNimekuja Kwako Bwana

Nimekuja Kwako Bwana

Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Nimekuja kwako Bwana, nimekuja kwako

Niwe mtumishi wako nikutumikie ee

Nimekuja kwako Bwana, nimekuja kwako

Verse 2

Tazama Bwana nimekuja kwako,

Niyatimize mapenzi yako

Verse 3

Ninafurahia ahadi yako,

Ni kitu chenye thamani kubwa

Verse 4

Unitegemeze niwe salama,

Msikifu kwa maongozi yako

Verse 5

Nisalimishe kwa fadhili zako,

Nizingatie mapenzi zako

Verse 6

Mafuta unipake kwenye kichwa,

Nami wako hadi mwisho

Verse 7

Mungu naona neno hili moja,

Nikae kwako hadi milele

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.