Chorus
Nimepiga vita, vilivyo vyema,
Vita vya roho na mwendo nimeumaliza *2
Sasa nangojea kupewa taji ya washindin[Na] sio mimi peke yangu *2
Pamoja na wateule waloshinda vita
Verse 2
Ninakuagiza mbele ya Mungu na mbele ya Kristu
Ukalihubiri Neno uwe tayari siku zote
Ukaripie unene kwa uvumilivu
Verse 3
Nao watajiepusha wasisikie yalo kweli
Mimi nimevumilia hadi ninaoga mikono
Bali wewe uwe na ukamilifu katika mambo yako
Verse 4
Uvumilie mabaya fanya kazi ya kuhubiri
Uihubiri injili uitimize huduma yako
Sasa wakati wa kufa kwangu umefika
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.