Chorus
Nimevipiga vita,
nimevipiga vita vilivyo vizuri x2
(Mwendo – mwendo nimeumaliza mwendon– imani nimeilinda mwendo nimeumaliza,
imani nimeilinda) x2
Verse 2
Baada ya hayo nimewekewa taji,
Nimewekewa taji, taji ya ahadi
Sasa namiminwa, nao wakati wangu
Wa kufariki kwangu, nao umefika
Ataniokoa na kila neno baya
Hadi niufikie ufalme wa mbingu
Nami nitaishi kwake Baba milele
Tena nikimwimbia Mungu aleluya
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.