Chorus
Ninaungama dhambi zangu Mwokozi,
unisamehe sitarudi tena x2
Verse 2
Enyi ndugu zangu ninaungama dhambi,
mnisamehe sitarudia tena x2
Kwa mawazo yangu pia matendo yangu,
unisamehe sitarudia tena x2
Nimekosa mimi nimekosa, unisamehensitarudia tena x2
Mama Maria Bikira mwema sana,
utuombee kwake Mungu Baba x2
Watakatifu wote na malaika, mtuombeenkwake Mungu Baba x2
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.