Chorus
Nitafurahi sana katika Bwana
Bwana amenivika mavazi ya wokovu
Amenifunika vazi la haki
Kama bibi harusi ajipambavyo
Kwa vyombo vya dhahabu, vyombo vya dhahabu
Verse 2
Nitafurahi sana katika Bwana
Nafsi yangu itashangilia katika Mungu
Verse 3
Bwana amenivika mavazi ya wokovu
Amenifunika vazi la haki kama bibi harusi
Ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.