SectionsThanksgivingNitaimba Kwa Furaha

Nitaimba Kwa Furaha

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{Nitaimba kwa furaha, na kucheza kwa maringo

Nikitaja na kusifu jina lako Maria} *2

Verse 2

Jina lako takatifu, nitaliimba kwa shangwe

Jina lako lenye heri, nitalisifu daima

Verse 3

Pamoja na malaika, nitalisifu kwa shangwe

Jina lako ee Maria, jina lenye kupendeza

Verse 4

Jina la Mama wa Yesu, jina la Malkia mwema

Jina la Mama wa Mungu, nitalitukuza sana

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.