Nitakushukuru Kwa Kuwa Nimeumbwa
Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
{Nitakushukuru nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu, kwa jinsi ya ajabu ya kutisha} *2
Verse 2
Ee Bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu tokea mbali
Verse 3
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Umeelewa njia zangu njia zangu zote njia zangu zote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.