SectionsEntranceNitakwenda Kwa Shangwe

Nitakwenda Kwa Shangwe

Ordinary Time,MarianEntrance
Verse 1

Nitakwenda kwa shangwe nanvigelegele, niingie nyumbani kwa Bwana

Mungu wetu

Chorus

Nitacheza, nitaruka, nitaimba wimbo ulenmtamu. Baba njooni, mama njooni, tufurahinmbele za Mungu wetu x2

Verse 3

Njooni nyote wazee vijana na watoto,

mshangilieni leo nyumbani mwake Bwana

Verse 4

Nitatangaza sifa zako Mungu mwenyezi,

kwenye kusanyiko nitakuimbia wewen

Verse 5

Nitasema sante kwake Mola Rabuka,

kwa ukarimu wako usio na kifani.

Verse 6

Nitatoa shukrani zangu kwa Muumba,

nikushukuru leo kesho na daima

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.