Nitasema

Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{ Nitasema, nitasema mimi, nitasema, Mwenyezi Mungu

Kumbe ndiwe furaha moyoni mwangu } *2n{ Kwa heshima nitakutukuza Mungu wangu,

Tena kwa ujasiri, nitasimulia matendo yako siku zote } *2

Verse 2

Umeniona ukanihurumia,

Na kwa upole ukanisaidia,

Na kwa thamani sana nami naapa,

Sitaacha kukusifu milele

Verse 3

Ee Bwana mimi ni kitu gani kwako,

Unitazame hata unikumbuke,

Nina furaha matumaini makubwa,

Maana wanijali, sikia

Verse 4

Ee Mungu wangu wewe ni nguvu yangu,

Mimi muovu nakiri unyonge wangu,

Ni nani tena aliye kama wewe,

Na tena wanijali, tazama

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.