Nitatoa Nini Mimi

Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

Nitatoa nini mimi ewe Mungu wangu,

kitakachokuwa sawa na fadhili zako,

wewe ni Bwana (wa rehema), fadhilinzako (za milele), nikupe nini (nikupe)

nikushukuru. Kama ni fedha (nazo ni zako)

hata mazao (ya mashamba) nikupe nini

(nikupe) nikushukuru

Verse 2

Mema mengi umenitendea eeh Mungunwangu, hata siwezi kukulipa, mara ngapinmimekukosea eeh Mungu wangu nanwewe ukanisamehe.

Verse 3

Usiku hata mchana wewe unanilinda,

hata hivyo sikukushukuru, umenilisha chakula ili nipate nguvu lakininsikukushukuru

Verse 4

ninajitolea kwako kimwili na kiroho,

vyote hata maisha yangu, nitaimbannikisema asante Mungu wangu, siku zotenhata milele

Verse 5

Nakutolea mkate ni mmea wa ngano,

divai tunda la mzabibu, kwa fumbo lanmaji haya pia divai hii nishiriki umungunwako

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.