Njooni Tupeleke
Njooni njooni wote, njooni ndugu wapendwa *2n{ Njooni wote tupeleke, nyanyukeni inukeni,
Njooni watu wema tupeleka sadaka } *2
Mazao ya tupeleke kwa Mungu.
Tupeleke vyote, tupeleke taratibu apokee,ntupeleke abariki.
Waluhya na kuku wapi, Wakamba malenge wapi
Wateso mihogo wapi, Maasai na ng'ombe wapi *2n{ Vyote ni mali ya Bwana ni mali ya Bwana
Vyote ni mali ya Bwana tumurudishie Bwana }*2
Nazi, maziwa, asali, nduma na miwa,
Sukuma, managu, murenda na dania tupeleke *2
Vyote ni mali ya Bwana . . .
Mkate pia divai mchele hata ngano sadaka
Hata na zaka tumtolee Mungu *2
Vyote ni mali ya Bwana . . .
Tupeleke na maembe, ndizi, papai, nanasi
Tupeleke na machungwa, mahindi na maharagwe *2
Vyote ni mali ya Bwana . . .
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.