Chorus
Nyanyukeni waumini wote tufanyenshangwe kwa nderemo, kwa vigelegelenna kwa vifjo x2 Bwana asifwe (sana),
Bwana asifwe x2 (kweli) mwadhaninaragoshuo x2
Verse 2
Nikiziangalia mbingu ni kazi ya vidolenvyako, mwezi na nyota za mbinguninulizoratibisha wewen
Verse 3
Uwezo wake Bwana Mungu haupimikinkwa mizani, mipango yake kwetu sisinhaiwezi kubadirishwa
Verse 4
Alikausha bahari ya shamu ikawa nchi kavu,nwaisraeli wakapita kwa uwezo wa
Mungu Baba.
Verse 5
Natupigeni tarumbeta vinubi hata nanmatari, tuimbe wimbo wake Musa na ulenwa Mwana Kondoo
Verse 6
Pazeni sauti zenu kwa shangwe hata na vifjo,nsifa pia na utukufu tumpe Bwana siku zote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.