Chorus
Nyumbani mwa Mungu twingie kwanfuraha na kumwabudu.
Verse 2
Bwana asema: Nyumba yangu,
itaitwa nyumba ya sala.
Ndani yake kila aombaye upokea,
abishaye ufunguliwa.
Panapokusanyika wawili au watatu kwanjina langu, mimi nipo katikati yao.
Kweli Bwana yupo mahali hapa,
hapa ni mlango wa mbingu.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.