Pokea Sifa Zangu
Thanksgiving
Chorus
Ninakupenda Mungu (wangu) ninakupenda wewenmilele na milele (bwana) nitakutukuza.
Pokea sifa zangu (bwana) zinazotoka katikankinywa changu (ndani) mimi na moyoni mwangun
Verse 2
Katika makusanyiko, nitaziimba zaburi,
nitazitangaza sifa, zako daima milele
Kwenye madhabahu yako, nitaitoa sadaka,
ile ya kukupendeza,
ee Mungu Muumba wangu.
Verse 3
Umenitendea mengi, mema yasiyo idadi,
ninakushukuru Bwana, ee Baba Muumbanwangu. Nikiyakumbuka yote, machozinyanimwagika, ni machozi ya furaha, ninmachozi ya upendo.
Verse 4
Usiniache ee Bwana, na wala usinitupe,
ukinitupa wewe, nani ataniokota. Ndiwenmsitiri wangu, katika dunia hii, dunianyenye mateso, na yenye mahangaiko
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.