Pokea Sifa
Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1
Pokea sifa Bwana pokea sifa jina lakonlitukuzwe, Bwana pokea sifa
Verse 2
Uliumba vitu vyote Bwana pokea sifa
Mbingu na dunia vya kuabudu
Bwana pokea sifa
Chorus
Viumbe vyote vya kuabudu Bwananpokea sifa, viumbe vyote vyakuinamia
Bwana pokea sifa
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.