Chorus
Pokeeni (pokeeni) Roho Mtakatifu atakayenwajia juu yenu muwe mashahidi wangu siontu wa Yerusalemu bali kwa mataifa yote
Verse 2
Akiisha kusema hayo, walipokuwanwakitazama akainuliwa wingunlikampokea kutoka machoni paon
Verse 3
Mara walipokuwa wakitazamanwakaja watu wawili wakawaambianalivyochukuliwa kwenda mbinguni vivyonatakuja kutoka mbinguni
Verse 4
Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu,
kutoka mlima uitwao Mizeituninwakaingia ghorofaninwakimngoja Roho Mtakatifu
Verse 5
Hata ilipotimiasiku ya Pentekoste,
walikuwapo wote mahali pamoja
Wakajazwa na Roho Mtakatifu,
wakaanza kulihubiri neno
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.