SectionsEucharistSacramenti Kubwa Hiyo

Sacramenti Kubwa Hiyo

Ordinary Time,Easter,Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Sacramenti kubwa hiyo twaheshimu kifudi,

na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo;nyafichikayo machoni imani huyaona

Mungu Baba, Mungu Mwana asifwenkwa shangwe kwa heshima atukuzwe,

pia aabudiwe, Mungu Roho Mtakatifunvile sifa apate.

Amina

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.