Chorus
Sala yangu ipae mbele yako Bwanan{ Kama moshi wa ubani moshi wa ubani
Na kuinuliwa mbele ya uso wako uso wako uso wako mtakatifu n(ikupendeze Eee Mungu)*4
Verse 2
Eee Mungu tunakuomba uipokee sadaka yetu ya leo kwa moyo wa huruma (Eee Mungu) kwa moyo wa huruman
Harufu nzuri ya ubani isizindikize sala zetu za leo, nayo maombi yetu (Eee Mungu) nayo maombi yetu
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.