SectionsExitSalamu Mama Maria

Salamu Mama Maria

MarianExit
Verse 1

Salamu mama maria Salamu Salamu

Salamu mama maria, twakusalimu mama yetu

Chorus

Ni maama wa mkombozi, ni mama mwenye huruma, ni mama mpendelevu.

Ni mwenye neema nyingi*2

Verse 3

Ni mama mtakatifu ni mama yetu Maria

Ni mama wa mkombozi, ni mama mpendelevu

Bikira mwenye heshima, ni mama yetu Maria,

bikira mwenye huruma ni mama yetu maria

Ni nyota ya asubuhi ni mama yetu marianbikira wa mabikira

Ni mama mstajabivunni mama wa familia

Malkia wa malaika

Malkia wa mashahidi

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.