Chorus
Salamu Maria Mama wa Mungu
Sisi wanao twakusalimu
Salamu Maria Mama wa Mungu
Sisi wanao twakusalimu
Verse 2
Tunakujia ututazame,
sisi wanao twakuimbia
Verse 3
Wewe ni nguzo ya wasafiri,
sisi wanao twakuimbia
Verse 4
Wewe ni mlango wa uwinguni,
sisi wanao twakuimbia
Verse 5
Ututazame ee Mama mwemantukipambana na matatizo
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.