Verse 1
Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka
Kila mtu aanze kujifikiria
Chorus
Zilete zilete, zilete kwa Bwana
Zilete zilete zilete kwa Bwana
Verse 3
Tolea moyo wako, pia matendo yako
Naye Bwana Mungu wangu, atakubariki
Verse 4
Wiki nzima Bwana Mungu, amekulinda vyema
Sasa nawe ndugu yangu, ujifikirie
Verse 5
Kumbuka jinsi Yesu, alivyojitolea
Pale msalabani, kwa ajili yako
Verse 6
Baraka zake Mungu, za Baba na za Mwana
Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.