SectionsOffertorySheria Ya Bwana

Sheria Ya Bwana

Ordinary Time,Ordinary TimeOffertory
Chorus

Sheria ya Bwana, sheria ya Bwananni kamilifu aeeh, ni kamilifu aeehnhuburudisha nafsi x2

Verse 2

Ushuhuda wa Bwana, ushuhuda wa Bwana,

ni yamini ni yamini humtia mjinga hekima

Maagizo ya Bwana, maagizo ya Bwana.

Ni ya adili,

i ya adili,

huufurahisha moyo wangu

Na amri yake Bwana, amri yake Bwana,

Ni saf sana ni saf sana,

huyatia nuru macho yangu

Hukumu zake Bwana, hukumu zake Bwana,

ni za kweli ni za kweli,

nazo zina haki kabisa

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.