SectionsBible ProcessionSilaha Ya Mapambano

Silaha Ya Mapambano

Ordinary Time,Ordinary Time,MarianBible Procession
Verse 1

Neno lake Bwana Mungu eensilaha ya mapambano ee eenmapambano silaha ya mapambanondhidi ya Ibilisi,

hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

Chorus

Yesu ameshinda, Yesu ameshinda mtawala,

Yesu ameshinda, Yesu ameshinda mtawala

Verse 3

Neno lake Bwana Mungu ee,

linashinda mapambano ee ee mapambano,

linashinda mapambano dhidi ya Ibilisi

Hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu n

Verse 4

Neno lake Bwana Mungu ee,

linashinda mbinu zote ee ee mbinu zake,

linashinda mbinu zote dhidi ya Ibilisi,

hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

Verse 5

Neno lake Bwana Mungu ee,

linapenya mbinu zote ee ee mbinu zake,

linapenya mbinu zote dhidi ya Ibilisi,

hayo ndiyo mapambano dhidi ya muovu

Comments

Sign in to join the conversation

Share your thoughts on this hymn with the community.