Chorus
Tazama, tazama bikira atachukua mimba;nnaye atazaa mtoto (mtoto) mtotonmwanaume, naye atamwita jina,
jina lake Immanuel
Verse 2
Tengenezeni njia, njia ya Bwana,
yanyoosheni mapito, mapito ya Bwana
Verse 3
Hakika wokovu wake u karibu nanwamchao, utukufu ukae katika nchi yetu
Verse 4
Kila bonde litajazwa, milima itashushwa,
palipopotoka patakuwa pamenyoshwa.
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.