Verse 1
Tazameni kule Kalvary
Mwokozi aliteswa na dhambi x2
Alizikwa mle kaburini
Mwisho akatoka kwa ushindi
Chorus
Nitashinda Bwana nitashinda
Kama wewe pia ulishinda x2
Nitapita mapitoni mwako; oh –oh
Nimeanza Bwana nitashinda
Verse 3
Njia mbovu zote nimeacha
Nitapitia njia nyembamba
Walipitia Elija na Musa
Walianza mwisho wakashinda
Verse 4
Kupokea wimbo wa ushindi
Kuchukuliwa kwa mawingu x2
Malaika kutwa wanaimba
Wakisifu nyimbo za ushindi
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.