Verse 1
Bwana Mungu nashangaa kabisa
Nikifikiri jinsi ulivyo nyota, ngurumo, vitunvyote pia, viumbwavyo kwa uwezo wako
Chorus
Roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
jinsi wewe ulivyo mkuu.
Verse 3
Nikitembea pote duniani, ndege huimba,
nawasikia, milima hupendeza machonsana, upepo nao nafurahia
Nikikumbuka vile wewe Mungu, ulivyonmpeleka mwanao, afe azichukue dhambin‘zetu, kuyatambua ni vigumu mno
Yesu Mwokozi utakaporudi, kunichukankwenda mbinguni, nitaimba sifa zakonmilele, wote wajue jinsi ulivyo
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.