Verse 1
Tuingie nyumbani mwake Bwana
Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe.
Chorus
Aleluya, aleluya,
Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe
Verse 3
Sote tumwimbie wimbo mpya,nkwa sifa nao utukufu wake Bwana
Verse 4
Tushangilie kwa furaha
Kwa kuwa yeye ni mkombozi wa wote.
Verse 5
Vijana wazee na watoto ,
Sote tulisifu jina la Bwana wetu.
Verse 6
Tutoe nyoyo zetu kwa Bwana,
Sote tuzipate baraka na neema
Verse 7
Na tumshangilie Mungu pote,
Sote tu-m-sifu milele na milele
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.