Chorus
Tujongeeni mezani, mezani mwa bwana*2 ili tukauonje utamu wa mbingu
Verse 2
Mwili wake bwana yesu ni chakulandamu yake bwana yesu ndicho kinywaji
Aulaye mwili wake ana uzima,
ainywaye damu yake taburudishwa
Hima hima twende wote tumpokee,
ili tupate uzima wa roho zetu
Ukarimu wake bwana wa ajabu kwani ametualika mezani pake
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.