Verse 1
Tuliona nyota ikitoka Masharikin[s/t: Nasi] tumekuja kumsujudia Bwana
Verse 2
Nao waliofikiwa na habari hii walifurahia na kusema
Verse 3
Mamajuzi walikwenda kumwona mkombozinwalifurahia na kusema
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.