Chorus
Tumaini letu ni kwa Bwana, kwa maananana uwezo wa milele.
Verse 2
Tutamsifu Bwana siku zote
Chorus
Kwa maana ana uwezo wa milele
Verse 4
Yeye ndiye mwanzo wa uzima-
Yeye ndiye aliyetuumba-
Vitu vyote vimeumbwa naye-
Yeye ndiye kiongozi wetu-
Tumwabudu tumsifu daima-
Sifa na uwezo viwe kwake-
Nguvu na ulinzi ni kwa Bwana-
Uzima na wokovu ni kwake-
Atukuzwe katika Utatu-
Kama mwanzo, sasa na daima-
Comments
Sign in to join the conversation
Share your thoughts on this hymn with the community.